Alhamisi, 7 Aprili 2016

MAISHA YA MABINTI WA MBULU NA MILA YA IRAQW na Bibiana Bonefance


Nawakaribisha mabinti wote wa Mbulu kwa ajili ya kutoa maoni yenu na kero zinazowakumba katika Wilaya yetu ya Mbulu

Baadhi ya mila potofu zinazowakandamiza mabinti hasa wanapopata mimba nje ya ndoa au wakiwa wanafunzi shuleni

Baadhi ya madhara ya mila ni pamoja na metimani, mabinti wengi hupangishwa kwenye nyumba ambazo zinajulikana kwa jina la doroway

KARIBUNI MTOE MAWAZO


KWA JINA NAITWA BIBIANA BONEFANCE
TUWASILIANE KWA SIMU NAMBA 0783309357

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni