NAWAKARIBISHA MABINTI WOTE MSIOTENDEWA HAKI KATIKA JAMII NA KUKANDAMIZWA NA MILA POTOFU, SIO MBULU TU BALI NI TANZANIA NA DUNIA KWA UJUMLA
Alhamisi, 7 Aprili 2016
TUDUMU KATIKA SALA ILI TUPATE BARAKA AFU KAZI BAADAYE
Wadada wote tudumu katika sala tusikubali kudanganywa katika maisha yetu
MAISHA YA MABINTI WA MBULU NA MILA YA IRAQW na Bibiana Bonefance
Nawakaribisha mabinti wote wa Mbulu kwa ajili ya kutoa maoni yenu na kero zinazowakumba katika Wilaya yetu ya Mbulu
Baadhi ya mila potofu zinazowakandamiza mabinti hasa wanapopata mimba nje ya ndoa au wakiwa wanafunzi shuleni
Baadhi ya madhara ya mila ni pamoja na metimani, mabinti wengi hupangishwa kwenye nyumba ambazo zinajulikana kwa jina la doroway
KARIBUNI MTOE MAWAZO
KWA JINA NAITWA BIBIANA BONEFANCE
TUWASILIANE KWA SIMU NAMBA 0783309357
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)